- 183 views
mswada wa seneta wa nandi samson cheragei unaopania kuongeza muda wa muhula kwa viongozi wa kisiasa nchini ikiwemo rais william ruto, sasa unatishia kulipasua bunge katikati. viongozi katika bunge la kitaifa wakiongozwa na marwa kitayama wa kuria masharaiki, sasa wanasema kuwa mswada huo ni wa kibinafsi, haujalihusisha bunge zima na wala mswada huo hauna baraka zake rais ruto. wakizungumza katika majengo ya bunge hapo jana, wabunge hao wanasema kuwa watahakikisha mswada huo umeangushwa utakapowafikia mezani.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Seneta wa Meru Murungi apinga kuongezwa muda wa muhula kwa viongozi wa kisiasa nchini
- - 🔴 TV47 LIVE ››
- - Duniani Leo ››
- 12 Aug 2025 - The Senate’s attempt to extend its oversight beyond its constitutional mandate raises concerns.
- 12 Aug 2025 - KICD says learners who want to pursue Core Mathematics must have met or exceeded expectations throughout their primary and junior school assessments.
- 12 Aug 2025 - How Jose Mourinho influenced McCarthy in defensive artistry
- 12 Aug 2025 - Hustler Fund, e-Citizen: Stop denials and embrace honest conversations
- 12 Aug 2025 - Ruto puts banks to task over constant high lending rates
- 12 Aug 2025 - Unbowed Lagat returns despite murder probe
- 12 Aug 2025 - Inside school walls: The hidden reality of forced pregnancy tests, searches
- 12 Aug 2025 - Fertiliser subsidy: A double-edged sword driving firms out of business
- 12 Aug 2025 - Nairobi Hospital suspends price hikes after insurers' outcry
- 12 Aug 2025 - DAP-K convenes crisis talks as Wamalwa, Natembeya rift widens