Seneta wa Nandi ataka waziri na katibu wateuliwe kutoka Nandi

  • | Citizen TV
    1,228 views

    Na huku wakenya wakisubiri rais William Ruto atangaze baraza lake la mawaziri, seneta wa Nandi Samson Cherargei amemtaka rais kuteuwa waziri na katibu wa wizara kutoka kaunti hiyo. Kulingana naye, kaunti ya Nandi inastahili kuwa na waziri katika serikali ya Kenya Kwanza.