Seneta wa Narok Ledama Ole Kina na mbunge wa Embakasi Babu Owino walalamikia uteuzi

  • | Citizen TV
    50,267 views

    Seneta wa narok Ledama Ole Kina na mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino wamelalamikia uteuzi wa viongozi katika kamati za bunge uliotekelezwa na chama cha ODM. Kulingana nao, wamebaguliwa licha ya kujitolea mhanga kutetea chama hicho na kupiga kampeni, lakini hawajateuliwa katika nyadhifa zozote bungeni.