Seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandogo yupo kizimbani Nakuru

  • | TV 47
    26 views

    Seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago na washtakiwa wengine wawili wapo kizimbani kujibu mashtaka ya sakata la mpango wa masomo nchini Finland uliotajwa kuwapotezea wazazi fedha.

    Mandago apo kizimbani kwa kashfa ya Sh1.1 bilioni na kwa kuwahadaa wanafunzi wa Kaunti ya Uasin Gishu.

    #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __