Seneti kuamua hatma ya Gavana Mutai kufuatia ukaguzi wa kura

  • | NTV Video
    514 views

    Bunge la Seneti linatarajiwa kuamua hatma ya gavana wa Kericho Eric Mutai usiku wa leo. Kwenye uamuzi wake, bunge hilo litaongozwa na ripoti ya ukaguzi wa mtambo wa upigaji kura kupitia arafa, mtambo uliotumiwa na bunge la kaunti ya Kericho kumtimua Mutai ripoti hiyo itawasilishwa jioni hii na mkaguzi kutoka mamlaka huru ya masuala ya habari, mawasiliano na teknolojia.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya