Sera mpya ya kukabiliana na mihadarati imeanzishwa

  • | Citizen TV
    327 views

    Waziri wa usalama wa kitaifa kipchumba murkomen amezindua sera ya kwanza nchini kuhusu kudhibiti matumizi ya pombe, dawa za kulevya na mihadarati.