Serikali haitaachia mikakati ya kutoa vitambulisho kwa wakaazi wa Kaskazini Mashariki, Kindiki adai

  • | Citizen TV
    353 views

    Serikali haitarejea nyuma kwenye mikakati mipya ya kutoa vitambulisho kwa wakazi wa maeneo ya kaskazini mashariki. Naibu rais Profesa Kithure Kindiki amepuuzilia mbali madai kwamba hatua hio itawapa nafasi magaidi wa alshabaab kujisajili kama wakenya. Akizungumza baada ya mkutano na viongozi wa eneo hilo katika makazi yake huko Karen,, Kindiki amesema kuwa hatua hiyo inanuia kuwasawazisha wakenya wanaoishi maeneo ya mpakani na wenzao na kukikisha eneo la kaskazini limepata maendeleo

    shabaab