Serikali imeagiza wanafunzi wote wakiwemo wale walio wajawazito na waliojifungua kurejelea masomo.

  • | KBC Video
    Serikali iliagiza wanafunzi wote wakiwemo wale walio wajawazito na waliojifungua kurejelea masomo. Hata hivyo utekelezaji wa agizo hilo ni kizungumkuti kutokana na wasiwasi kuhusu malezi ya watoto hao wachanga mama wao wakiwa darasani. Je kuna sehemu za kuwahudumia kina mama hao chipukizi?. Katika juhudi za kutanzua kitendawili hiki, ripota wetu Caroline Kamau alizuru shule ya upili ya wasichana ya Serene Haven iliyoko kaunti ya Nyeri ambayo inatoa fursa ya elimu kwa wasichana waliojingua na changamoto wanazopitia wasichana walio wajawazito. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive