- 344 viewsDuration: 2:18Serikali imeanzisha huduma za usaidizi za Mamlaka ya mali za kifedha zisizodaiwa (UFAA) katika Vituo vya Huduma kote nchini. Hatua hii inapaniwa kuwawezesha Wakenya kurejesha mabilioni ya pesa zilizoachwa na jamaa na wenzi wa ndoa waliofariki.