Skip to main content
Skip to main content

Serikali imeanzisha mpango wa kuwafunza vijana 1,600 kupanda kahawa ili kufufua sekta hiyo

  • | Citizen TV
    296 views
    Duration: 1:52
    Serikali imeanzisha mpango wa kuwafunza vijana 1,600 katika maeneo yanamokuzwa kahawa ili kufufua sekta hiyo na kuongeza uzalishaji kutoka tani elfu 50 hadi tani elfu 150 kwa mwaka katika kipindi cha miaka mitatu ijayo.