Serikali imefunga viwanda vya sukari magharibi

  • | Citizen TV
    541 views

    Serikali imefunga kwa muda viwanda vya sukari katika eneo la magharibi kufuatia uhaba wa miwa. katika juhudi za kuhakikisha ustawi wa sekta ya sukari nchini, serikali imetangaza kuwa viwanda vilivyoko eneo la magharibi vitafungwa kwa miezi mitatu kuanzia Julai tarehe 11 mwaka huu