Serikali imeonya walimu wakuu wa shule dhidi ya kuongeza karo

  • | KBC Video
    Serikali imeonya walimu wakuu wa shule dhidi ya kuongeza karo kwani hatua hiyo huenda ikatatiza wanafunzi na wazazi. Waziri wa elimu, Prof George Magoha amesema kuwa kuongezwa kwa karo hakufai wakati huu kutokana na matatizo ya kiuchumi yaliosababishwa na janga la Korona. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive