Serikali imesema hainuii kuongeza karo za shule za sekondari na msingi.

  • | KBC Video
    27 views

    Serikali imesema hainuii kuongeza karo za shule za sekondari na msingi. Wizara ya elimu badala yake imesema itahakikisha kwamba mgao kwa shule utatolewa kwa wakati ufaao na kuharakisha ujenzi wa madarasa elfu-9 kote nchini ili kuziba pengo la muundo msingi katika shule za Junior Secondary.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News