Serikali imesutwa kwa kuchelewesha fedha za kufadhili elimu ya bure.

  • | West TV
    12 views
    Serikali imesutwa kwa kuchelewesha pesa za kufadhili elimu ya bure kwa wanafunzi na hivyo kuathiri utendakazi wa shule za umma nchini.