Serikali imetakiwa itilie mkazo swala la kuimarisha usalama katika kaunti ya Lamu

  • | K24 Video
    81 views

    Serikali imetakiwa itilie mkazo swala la kuimarisha usalama katika kaunti ya Lamu kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara yanayodaiwa kutekelezwa na magaidi wa Al-Shabaab. Wakaazi wamekuwa wakiishi kwa hofu katika vijiji tofauti kutokana na mashambulizi hayo. Idara za usalama pia zimetakiwa ziimarishe juhudi za kuwanasa wale wote wanaohusishwa na mauaji ya kiholela kaunti ya lamu