Skip to main content
Skip to main content

Serikali imetakiwa kutii makubaliano kati ya Knut na TSC yaliyopendekezwa mbele ya Ruto

  • | NTV Video
    194 views
    Duration: 1:38
    Serikali imetakiwa kutii makubaliano kati ya Muungano wa Kutetea Masilahi ya walimu (KNUT) na Tume ya kutoa huduma kwa walimu Nchini (TSC) yaliyopendekezwa mbele ya Rais William Ruto katika ikulu ya Nairobi kwenye mkutano na walimu miezi michache iliyopita. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya