Serikali imetakiwa kuwekeza kuangamiza HIV

  • | Citizen TV
    420 views

    Serikali imetakiwa kuweka mikakati mwafaka ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya HIV na ugonjwa wa kifua kikuu kufuatia kuendelea kudorora kwa ufadhili wa kukabiliana na magonjwa hayo. Wataalamu wanaonya iwapo hali hii haitaangaziwa huenda taifa likajipata katika hatari ya kuwa na viwango vya juu vya maambukizi ya magonjwa haya.