Serikali imetenga takriban shilingi billion 17.9 kwa ujenzi wa barabara ya lamu-Hijara-Garissa

  • | Citizen TV
    Serikali imetenga takriban shilingi billion 17.9 za ujenzi wa barabara kuu kutoka bandari ya Lamu kuelekea Hijara na Garissa. Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 457 inaunganisha nchi za Ethiopia na Sudani Kusini itachukua muda wa mwaka mmoja kukamilika.