Serikali imetoa chakula kwa shule za msingi na upili Makueni

  • | Citizen TV
    576 views

    Serikali imeanza kutoa msaada wa chakula kwa shule za msingi na upili kwenye eneo bunge la Kibwezi magharibi katika juhudi za kuhakikisha wanafunzi hawakosi masomo kutokana na njaa inayowaathiri wakaazi wengi wa kaunti ya makueni. haya ni huku walimu wakionywa dhidi ya kuuza chakula hicho kinachonuiwa kuwasitiri wanafunzi shuleni hadi mwisho wa muhula huu.