Skip to main content
Skip to main content

Serikali imewataka wawekezaji katika sekta ya Kilimo kuwajali wakulima wadogo

  • | Citizen TV
    199 views
    Duration: 1:52
    Waziri wa Kilimo Mutahi Kagwe amesema sekta hiyo huimarishwa na wakuliwa wa viwango vya chini akisema kuwa wengi wao huachwa bila soko kwa mazao yao licha ya wawekezaji kuwaahidi zoko. Kwenye hafla hiyo iliyowaleta pamoja wawekezaji mbali mbali, wazalishaji chakula pamoja na wakulima kutoka kaunti za Pwani, kauli mbiu ilikuwa kuwapa kipaumbele wakulima hasa wadogo wadogo eneo hilo. Aidha serikali imeraiw akuwapa pembejeo wakulima wadogo wa pwani ili kuimairisha kilimo eneo hilo na kukomesha utegemezi wa chakula cha msaada.