Serikali imezindua mpango mpya wa kusambaza mbolea kwa wakulima

  • | Citizen TV
    460 views

    Serikali imezindua mpango mpya wa kusambaza mbolea kwa wakulima. Mpango huo utashirikisha serikali za kaunti pamoja wafanyibiashara ili kuhakikisha kuwa mbolea inawafikia wakulima waliko. Wakulima wamekuwa wakilalamikia gharama ya kusafiri sha mbolea kutoka maghala ya NCPB hadi mashinani.