Serikali inahitaji shilingi milioni 475 kufadhili mpango wa ajira ughaibuni

  • | KBC Video
    79 views

    Wizara ya Leba imesikitishwa na upungufu wa shilingi bilioni-6 ambao huenda ukaathiri juhudi za Wakenya wanaosaka kazi hususan katika nchi za kigeni. Katibu katika wizara ya Leba, Shadrack Mwadime ambaye alifika mbele ya kamati ya bunge la kitaifa kuhusu masuala ya Leba aliwahimiza wabunge kuunga mkono mpango wa kuwapeleka Wakenya kufanya kazi ugenini kwa kuidhinisha ufadhili zaidi wa shilingi milioni-475 ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa ajira

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive