Serikali inajitahidi kuandaa shule na miundo msingi bora

  • | NTV Video
    41 views

    Huku serikali ikijitahidi kuandaa shule na miundo msingi bora ili kusaidia kikamilifu mfumo wa elimu wa CBC, jamii katika kaunti tofauti zinaomba mashirika kuziunga mkono ili kutoa miundo msingi ifaayo kuimarisha ubora wa masomo katika shule zao.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya