Serikali inalaumiwa kwa kupuuza tahadhari kuhusu EL Nino

  • | K24 Video
    112 views

    Waathiriwa zaidi ya elfu mia nane wa mafuriko yanayoshuhudiwa eneo la kaskazini mwa kenya wanahitaji usaidizi wa dharura . Hayo ni kulingana na wabunge kutoka maeneo hayo ambao sasa wameibua hoja ya zilizopo fedha zilizoahidiwa za kukabiliana na mafuriko. Serikali imethibitisha kuwa zaidi ya kaunti ishiirini zimeathirika na mafuriko kufikia sasa..