Serikali inalenga kupunguza gharama ya matibabu ya afya kwa asilimia 50 katika miaka mitano ijayo

  • | K24 Video
    24 views

    Serikali ya Kenya inalenga kupunguza gharama ya matibabu ya afya kwa asilimia 50% katika miaka mitano ijayo, kwa sasa, wakenya milioni 1 wamezama katika ufukara kutokana na mzigo wa kifedha unaotokana na matibabu ya magonjwa. Lengo la serikali litategemea zaidi uwekezaji katika huduma za afya za kinga.