- 230 viewsDuration: 1:33Serikali iko tayari kwa mpito wa sekondari ya juu , haya ni kwa mujibu wa waziri wa elimu Julius Migos Ogamba .Akizungumza katika chuo kikuu cha Embu, waziri Migos amesema kuwa mikakati imewekwa kuhakikisha kuwa wanafunzi watakaojiunga na gredi ya kumi Januari mwaka ujao hawakosi masomo