Serikali inasubiriwa kutoa mwelekeo kuhusu wakenya India

  • | Citizen TV
    Serikali inasubiriwa kutoa mwelekeo kuhusu wakenya India Wakenya hao wamekwama huko baada ya safari za ndege kusitishwa Hatua hiyo iliarifiwa na juhudi za kuzuia maambukizi ya covid-19 Maambukizi ya Covid-19 nchini yanaendelea kupungua Watu 86 wapatikana na virusi vya corona kutoka sampuli 2,789