Serikali itatekeleza shughuli ya kutwaa silaha kuanzia kesho ili kutokomeza umiliki haramu wa silaha

  • | KBC Video
    36 views

    Serikali itatekeleza shughuli ya kutwaa silaha kuanzia kesho ili kutokomeza umiliki haramu wa silaha eneo la North Rift. Rais William Ruto amesema kuwa zoezi hilo litaongozwa na polisi na jeshi, huku wanaomiliki silaha hizo wakihimizwa kuzisalimisha kwa hiari .Akiongea mjini Nakuru alipokutana na viongozi kutoka eneo hilo na Baringo,rais alisema kuwa serikali haitalegea hadi hali ya kawaida utulivu itakaporejea katika sehemu hiyo.Alidokeza kuwa serikali haitaongeza ushuru katika bajeti ijayo. Hata hivyo alionya kuwa hakuna mtu atakayekosa kulipaushuru, akisema hii ndiyonjia pekee ambayo taifa hili linaweza kuepuka ukopaji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #williamruto #News #umilikiharamuwasilaha