Serikali kuajiri walimu elfu-20 zaidi

  • | KBC Video
    20 views

    Serikali inatarajia kuajiri walimu elf-20 zaidi kuziba pengo la uhaba wa walimu humu nchini. Akiongea katika shule ya kitaifa ya wasichana ya Kolanya, waziri wa elimu, Ezekiel Machogu alisema serikali imeajiri walimu elf-50 tangu ilipochukua hatua. Machogu alikariri kujitolea kwa serikali kuimarisha muundo mbinu shuleni huku akikabidhi shule za upili za Kolanya na St Paul's Amukura shilingi milioni-10 kuimarisha muundo msingi katika shule hizo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive