Serikali kuamrisha vituo vya habari nchini vya NTV, KTN, K24 kusitisha matangazo mubashara.

  • | Citizen TV
    5,206 views

    Serikali hii leo imekashifiwa vikali kwa kuamrisha vituo vya habari nchini kusitisha matangazo mubashara. Kupitia barua ya mamlaka ya mawasiliano nchini, CA, serikali ilidai kuwa matangazo hayo yalikiuka katiba.