Serikali kuanza kukata 2.75% mwishoni mwa mwezi huu

  • | Citizen TV
    1,329 views

    Hapo kesho wizara ya afya itachapisha katika gazeti rasmi la serikali taratibu za bima mpya ya afya ya jamii ili kutoa nafasi ya utekelezaji wake. Waziri wa afya susan nakhumicha amesema hatua hiyo itatoa nafasi ya kuanza kukatwa mara moja kwa ada ya asilimia 2.75 kugharamia bima hiyo