Serikali kuboresha miundomsingi kuongeza uzalishaji na upanzi wa mpunga eneo la Mwea

  • | Citizen TV
    176 views

    Serikali kuu imeanzisha mipango itakayoweka miundo misingi bora kuongeza uzalishaji na upanzi wa mpunga eneo la Mwea Kaunti ya Kirinyaga ili kufanikisha ajenda ya lishe bora na utoshelevu wa chakula nchini.