Serikali kuchukua hatua kali kwa watakaovamia taasisi za serikali

  • | K24 Video
    414 views

    Waziri wa usalama wa ndani profesa Kithure Kindiki ametoa onyo kali dhidi ya jaribio lolote la kuingia katika taasisi za serikali kimabavu. Kindiki amesema serikali haitamsaza yeyote atakayepatikana huku akilaani vikali matukio yaliyoshuhudiwa wakati aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani Fred Matiangi alipojiwasilisha katika makao makuu ya DCI.