Serikali kuelekea mahakamani kuwasilisha mkataba wake kuhusu mgomo wa madaktari

  • | Citizen TV
    908 views

    Msimamo mkali kati ya muungano wa madaktari na serikali inaendelea siku chache baada ya mahakama kuagiza pande zote mbili kuandaa mkutano na kuwasilisha ripoti mahakamnai kuhusu makubaliano ya kurejea kazini kwa madaktari ambao wamekuwa wakigoma kwa zaidi ya mwezi moja sasa.