Serikali kuhakikisha kuna mazingira yanayofaa katika ukuzaji talanta

  • | KBC Video
    37 views

    Waziri wa michezo , vijana na utamaduni Ababu Namwamba amesema serikali itatumia fursa zilizoko katika sekta ya ubunifu kubuni nafasi za ajira kwa mamilioni ya vijana hapa nchini. Namwamba amesema serikali iko katika harakati za kubuni kituo cha kukuza talanta . Waziri alikuwa akiongea alipohitimisha rasmi tamasha ya siku kumi ya miziki na maonyesho ya talanta miongoni mwa vyuo vikuu katika chuo kikuu cha Jaramogi Oginga Odinda kaunti ya Siaya .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ababunamwamba #News