21 Aug 2025 1:13 pm | Citizen TV 316 views Duration: 2:50 Serikali sasa itahamisha shule ya Msingi ya El Molo Bay iliyoko eneo la Loiyangalani, kaunti ya Marsabit kufuatia tishio la shule hiyo kuzama kutokana na kuongezeka kwa maji ya ziwa Turkana.