Serikali kuhimizwa kushughlikia kwa haraka tatizo la viwango vya juu vya utapiamlo Wajir

  • | KBC Video
    49 views

    Wajir Magharibi, kaunti ya Wajir ;;; ingawa kuna mvua katika sehemu kadhaa humu nchini, ardhi hapa ni kavu;; mizoga ya wanyama ikiwa imetapakaa. Vifo vya wanyama hao vikiashiria kutoweka kwa riziki ya watu wa Wajir;;;;;;Hatma hiyo hiyo imewakumba wakazi wa Eldas na Wajir Kaskazini pia;;;;nats;;;;;Utapiamlo katika maeneo haya umefika asilimia 12 na idadi hiyo inayotarajiwa kuongezeka;;;;ups;;;;Takriban wahasiriwa laki-2 wa ukame katika eneo hili wamehama kutoka vijijini kwenda mijini;;;nats;;;;;Mama Habiba Abdi anatayarisha mtama kwa familia yake;;; ;ups;;;;hiki ndicho chakula pekee ambacho familia yake inapata. Mama Habiba hata hivyo ni miongoni mwa wachache waliobahatika;;;;;ups;;;;;; Halmashauri ya kitaifa ya kukabiliana na ukame imesajili familia elfu-147 zilizoathiriwa na ukame. Kati ya familia hizi, 19,201 zinapokea shilingi elfu- 2700 kwa mwezi, huku wengine elfu 127,799 wakihitaji msaada wa dharura;;;;ups;;;;;;; ;;;. Mshirikishi wa halmashauri ya kitaifa ya kukabiliana na ukame katika kaunti hiyo Abdulahi Halakhe alisema serikali inapanga kuzindua mpango wa elimu ya afya ya watoto ili kuiunganisha mpango wa kutoa fedha kwa wahanga wa njaa na lishe ili kusaidia familia katika mpango huo. Wakazi wa Wajir ni wafugaji ukosefu wa mvua katika eneo hilo umewafanya kukata tamaa kwa sababu hawana chakula cha kutosha kulisha mifugo wao. Gavana wa kaunti hiyo Ahmed Abdullah anasema dhana ya maisha ya kuhamahama sio endelevu;;;;;upsound;;;;; Sasa wanatoa wito kwa serikali na washirika wa maendeleo kuchukua hatua zaidi ili kupunguza athari za ukame

    KBC Channel 1 brings you the Mashujaa Day 2023 celebrations held in Kericho County. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive