29 Oct 2025 1:47 pm | Citizen TV 109 views Duration: 1:57 Serikali imetoa wito wa kuimarisha msukumo mpya katika ubunifu, teknolojia na upatikanaji wa masoko ili kuendeleza mabadiliko ya kilimo Barani Afrika.