Skip to main content
Skip to main content

Serikali kuimarisha taasisi za mafunzo ya utabibu

  • | KBC Video
    78 views
    Duration: 2:02
    Serikali imeboresha muundombinu, kuwaajiri wahadhiri zaidi na kuongeza vifaa vya mafunzo katika vyuo vya mafunzo ya utabibu ili kukidhi hitaji lililoko. Waziri wa afya Aden Duale, aliyeongea jijini Nairobi wakati wa uzinduzi wa magari yatakayosambazwa kwenye vyuo hivyo alisema shughuli za uchukuzi zinasalia kuwa nguzo muhimu ya mafunzo ya utabibu na utoaji huduma. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive