Serikali kujenga kiwanda cha kuzalisha kawi ya nyuklia eneo la Uyombo Matsangoni, Kilifi

  • | Citizen TV
    665 views

    Kufuatia pingamizi kali zilizoibuliwa na wakazi wa kijiji cha Uyombo Matsangoni kaunti ya Kilifi kuhusu ujenzi wa kiwanda cha kawi ya nyuklia, serikali imechukua jukumu la kuhamasisha wakazi kuhusu umuhimu wa mradi huo. Francis Mtalaki alihudhuria warsha hiyo ya siku tano kaunti ya kilifi na kuandaa taarifa ifuatayo.