Serikali kununua mchele uliokwama kwenye gala eneo la Mwea

  • | Citizen TV
    408 views

    Serikali Kununua Mchele Zaidi Ya Tani Tano Za Wakulima Wa Mwea Kununuliwa Wakulima Walikuwa Wamelalamikia Kukosa Soko Nchini Walidai Kuwa Mchele Uliopo Nchini Umetoka Ughaibuni