Serikali kuongeza juhudi katika usambazaji maji kote nchini

  • | Citizen TV
    Serikali kupitia kwa wizara ya maji imetangaza kuwa inapania kuongeza usambazaji wa maji humu nchini kwa asilimia 13%.