Serikali kuongeza mbinu mbalimbali katika mifumo ya mitihan, kukabiliana na udanganyifu mitandaoni

  • | NTV Video
    338 views

    Ili kukabiliana na udanganyifu wa mitihani ya mitandaoni, serikali imeahidi kuongeza mbinu mbalimbali katika mifumo ya mitihani ya kidijitali. Akizungumza katika kongamano la Huawei LEAP summit Shanghai Uchina, Katibu Mkuu wa Masomo ya Juu katika wizara ya elimu Dakta. Beatrice Muganda Inyangala alisistiza kuwa udhibiti wa mitandao maalum ya mitihani utaendelea haswa wakati akili mnemba almaarufu AI imeenea miongoni mwa wanafunzi. Vile vile alisisitiza umuhimu wa vyuo kuendeleza masomo kidijitali ili kuwafikia wasioweza kuhudhuria masomo kibinafsi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya