10 Oct 2025 1:34 pm | Citizen TV 188 views Duration: 1:43 Waziri wa afya Aden Duale amewahakikishia wakenya kwamba serikali imeweka mipango ya afya ya akili katika ajenda yake ya afya ya kitaifa ili kuhakikisha hali sahihi ya akili zao katika maisha yao ya kila siku.