Serikali kuratibu mswada wa mabadiliko kwenye huduma za urekebishaji tabia

  • | KBC Video
    38 views

    dara ya huduma za urekebishaji tabia imeanza mchakato wa kuratibu mswada utakaosaidia kuboresha vituo hivyo. Kulingana na katibu katika idara hiyo, Dkt Salome Beacco, mswada huo utaangazia masuala muhimu kama vile urekebishaji tabia, mafunzo ya kiufundi pamoja na suala la kuachiliwa huru kwa wafungwa ambayo hutoa mwongozo katika vituo hivyo. Katika mkutano wa mashauriano ulioandaliwa jijini Nairobi, washikadau walielezea haja ya kuzingatia mifumo ya kisasa na ile ya kimataifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive