Serikali kusambaza Shs 3.2B kusaidia wakenya walio na mahitaji maalum, wakenya 1.6M kunufaika

  • | NTV Video
    515 views

    Serikali imetangaza kuanza zoezi la usambazaji wa fedha kwa wakenya walio na mahitaji maalum kupitia mpango mzima wa inua jamii hii leo. Kulingana na katibu wa huduma kwa jamii Joseph Motari, zaidi ya shilingi bilioni 3.2 zimetolewa huku wakenya milioni 1.6 wakitarajiwa kunufaika na fedha hizo kupitia akaunti zao za benki.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya