Serikali kushirikiana na sekta ya kibinafsi kufanikisha mpango wa afya kwa wote

  • | KBC Video
    17 views

    Rais William Ruto amesema kuwa serikali itashirikiana na sekta ya kibinafsi kufanikisha mpango wa afya kwa wote. Kiongozi wa taifa alisema serikali italipa kipau mbele swala la kununua vifaa vya matibabu kutoka kwa watengenezaji bidhaa wa humu nchini ili kuhakikisha ukuaji wa sekta hiyo. Rais alisema serikali itachunguza upya mfumo wa kutoza ushuru na gharama ya kufanya biashara katika sekta hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive