Serikali kutayarisha vitambulisho milioni-3 vya kidijitali pamoja na pasipoti milioni-1 mwaka huu

  • | KBC Video
    37 views

    Serikali imezindua mpango maksusi wa kutayarisha vitambulisho milioni-3 vya kitaifa vya kidijitali pamoja na pasipoti milioni-1 mwaka huu. Katibu katika wizara ya huduma za uhamiaji, Julius Bitok amesema mpango huo ambao utaongeza maradufu idadi ya utayarishaji hati hizo kila maka ikilinganishwa na ilivyokuwa awali unanuiwa kurahisisha upatikanaji wa stakabadhi hizo muhimu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News