20 Aug 2025 1:10 pm | Citizen TV 196 views Duration: 1:33 Serikali inatathmini malipo kwa hazina ya kustaafu ya shirika la reli baada ya kutwaa ardhi ya Nairobi railway club. Pesa hizo zitaisaidia hazina hiyo kufanikisha malipo kwa kwa wafanyikazi waliostaafu washirika hilo.