Serikali kutoa mgao wa CDF mwisho wa mwezi

  • | KBC Video
    36 views

    Wizara ya fedha itatoa shilingi bilioni 10 kwa hazina ya kitaifa ya ustawi wa maeneo bunge kufikia mwisho wa mwezi huu katika juhudi za kuepusha mvutano uliopo baina ya serikali kuu na bunge la kitaifa. Rais William Ruto amesema wizara hiyo pia itatoa kiasi kingine cha shilingi bilioni 10 kufikia mwisho wa mwezi Machi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive